Sportstz on Twitter - Inaaminika mgomo huo unaongozwa na Neymar, Casemiro, Marquinhos na Allison.Ikiwa ni njia ya kupinga mashindano hayo kufanyika nchini kwao Brasil ambapo kuna vifo vingi vinaendelea kutokana na mlipuko wa #COVID19.Awali michuano hiyo ilipangwa kufanyika Colombia & Argentina 🇦🇷 pic.twitter.com/1DDs27M23W
via Twitter